📘 قراءة كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah أونلاين
Utangulizi:
Kaanza kwa
kusema Bismi llahi Rrahmani Rrahim; Kwajina la
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma mwenye kurehemu
.
Ameanza Mwenyezi Mungu Amrehemu risala hii kwa jina la
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma mwenye kurehemu, kwa kufuata
kitabu cha Mwenyezi Mungu mshindi na mtukufu,
kwa sababu macho
yako yakiangalia ndani ya msahafu na kabla ya kila sura kuna (Bismi
llahi Rrahmani Rrahim)
.
Kuanzia neno hili katika risala na katika vitabu nikufuata kitabu
cha Mwenyezi Mungu mshindi na mtukufu, vilevile nabii Muhammad
(s.a.w) Alikua
-
a
na mwambia muandishi
-
a'ndike mwanzo wa kila
barua wakati anapo watumia viongozi na maraisi na waliyoko mbali
ana walingania katika Uislamu, anaanza kuandika:
Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma mwenye
kurehemu
.
Na alikua Mtume (s.a.w) anaanza maz
ungumzo yake na maneno yake
kwa: Bismi llahi Rrahmani Rrahim, yaonyesha kuanza kwa Bismi
llahi Rrahmani Rrahim ni sunna ya Mtume (s.a.w), vilevile Nabii
Sulaiman (s.a.w) alipo muandikia Malkia
-
Mfalme wa saba' Yemen
-
ameanza kuandika kwa jina la Mwenyezi M
ungu Mwingi wa rehma
mwenye kuruhemu: (Malkia akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika
nimeletewa barua tukufu* Imetoka kwa Sulaiman nayo ni
:
Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma Mwenye kurehemu*
Msinifanyie jeuri, na fikeni kwangu nanyi mmekwisha kuwa wenye
kusalimu amri).
(An
-
Naml: 29
-
31).
Inatakiwakuanza na jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma
Mwenye kurehemu, katika kila jambo lenye umuhimu, na katika kila
kitabu chenye umuhimu na thamani, na katika kila risala
.
Kwa sababu hii wale ambao hawaanzi kwen
ye vitabu vyao na risala
zao kwa jina la Mwenyezi
Mungu Mwingi wa rehma Mwenye
kurehemu, hao wameacha sunna ya Mtume na kuto kufuata kitabu cha
Mwenyezi Mungu Mshindi na mtukufu, huenda kwa sababu hiyo
vitabu vyao na risala zao hazina baraka na ndani yake
hakuna faida;
kwa sababu ikiwa hakuna jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehma
Mwenye kurehemu huondolewa faida
.
Risala ya kwanza Maswala manne ambayo yameambatana na Surati
Al
-
Asr,
ILIMU
Tambua Mwenyezi Mungu akurehemu
.
Hili ni neno linalo ashiria umuh
imu wa mada, anapo sema: Tambua:
lina maana ya kwamba atakacho kwambia nimuhimu sana
.
MWENYEZI MUNGU AKUREHEMU
:
Hii ni dua kwa mtafutaji wa Ilimu, anawaombea watafutaji wa elimu
Mwenyezi Mungu awarehemu, na awape rehma zake, maneno haya
ndani yake kuna
upole kutoka kwa mwalimu kwenda kwa
mwanafunzi, na kwamba yeye anaanza kwa maneno mazuri na dua
njema, mpaka awaathiri kwa maneno hayo na wamuelekee mwalimu
wao
.
Lakini mwalimu akianza maneno kwa ukali na maneno yasio faa
jambo hili lina wakimbiza
-
wana
funzi
-
, wajibu wa mwalimu na wale
wanao lingania katika njia ya Mwenyezi Mungu, na nijuu ya yule anae
amrisha mema na kukataza mabaya kuwa mpole kwa yule anae ongea
nae, kwa kumuombea dua na kumsifu kwa maneno laini, kwani hili
lapelekea kukubali
.
Lakini m
tu mwenye kiburi mjeuri, yeye ana maneno maalumu,
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
(Wala msijadiliane na watu wa kitabu ila kwa njia iliyo nzuri kabisa,
isipo kuwa wale walio dhulumu miongoni mwao. Na semeni:
Tumeyaamini yaliyoteremshwa kwetu na yaliyotere
mshwa kwenu. Na
Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu
kwake).
(Al
-
Ankabut: 46)
.
Wake walio dhulumu nafsi zao miongoni mwa walio pewa kitabu,
wakafanya ujeuri na kiburi, hao hawalinganiwi kwa upole, wao
hulinganiwa kwa ukali. Amesema
Mwenyezi Mungu Mtukufu
:
(Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na
makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya).
(At
-
Tawba: 73)
.
Wanaafiki hawajadiliwi kwa silaha, lakini hujadiliwa kwa hoja na
maneno makali, nakuwatahadharish
a watu wasiwe karibu nao, na
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Na uwaambie maneno ya
kuathiri na kuingia katika nafsi zao).
(An
-
Nisaa: 63).
Hao wana maneno yao maalumu; kwa sababu wao ni wapingaji
wenye viburi, wala
hawataki haki bali wanataka kuwapote
za watu, hao huambiwa kwa
wanayo stahiki
.
NILAZIMA JUU YETU KUJIFUNDISHA MAMBO MANNE
.
Jambo hili sio hiyari, wala sio lenye kupendeza
-
ukitaka unafanya
hukutaka unaacha
-
isipo kua ni lazima hasa
.
Tutapo acha kujifundisha mambo haya kwa hakika tuna
pata
madhambi, kwa sababu jambo hili ni lazima, hakusema: ni hiyari
kwetu au yapendeza kwetu, lakini kasema: ni lazima kwetu, na jambo
lazima maana yake: mwenye kuliacha hupata dhambi, na kwa sababu
elimu haipatikani isipo kuwa kwa kujifundisha, na
kujifun
disha kuna
hitaji umuhimu na juhudi na muda, na kuna hitaji ufahamu na
kuhudhurisha moyo, huku ndiko kujifundisha.
Mwenyezi Mungu Anasema katika Suratul Asr: kwa jina la Mwenyezi
Mungu Mwingi wa rehma mwenye kurehemu (Naapa kwa Zama!*
Hakika binaadamu bil
a ya shaka yumo katika khasara* Isipokuwa
wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na
wakausiana kusubiri).
(Al
-
Asr: 1
-
3)
.
MAS'ALA MANNE
:
yaani upekuzi, yameitwa mas'ala; kwa kuwa mambo hayo nilazima
kuulizwa na kutiliwa umuhimu
.
JAM
BO LA KWANZA: ILIMU
.
Ilimu: makusudio ya ilimu hapa ni elimu ya kisheria; kwa sababu
ndio ambayo ni lazima kujifundisha, na mas'ala haya ni lazima
kujifundisha kwa kila Muislam, mwanamume au mwanamke, alie
huru au mtumwa, tajiri au maskini, mfalme au r
aiya. Kila Muislam ni
lazima kwake kujifundisha mas'ala haya manne
.
Na hili ndio linaloitwa na wanachuoni Ulazima waki pekee, ndio
ambao ni lazima kwa kila mmoja katika Waislam, swala tano kwa
wanamume na wanawake, na swala ya jamaa misikitini kwa
wa
namume. Jambo hili ni lazima kwa kila Muislam kujifundisha, kwa
sababu hiyo alisema: ni lazima juu yetu, na hakusema: ni lazima kwa
baadhi yetu, ila kasema: ni lazima juu yetu, yaani sisi Waislam, hii
nikatika elimu ambayo ni lazima kwa kila mtu; kwa sabab
u elimu zipo
namna mbili: Jambo la kwanza ambayo ni lazima kwa kila mtu
kujifundisha, hakuna udhuru kwa asiye jifundisha, nayo niile ambayo
haisimami dini bila yenyewe, mfano nguzo za Uislamtano ambazo ni:
A
.Shahada mbili,
B
.kusimamisha Swala,
C
.kutoa Zaka,
D
.kufunga Mwezi mtukufu wa Ramadhani,
E
. Kuhiji nyumba ya Mwenyezi Mungu,
Haifai kwa Muislam kuto jua mambo haya ni lazima kujifundisha
.
Kwa sababu kujifundisha maana ya Shahada mbili ndiko kujifundisha
Tauhidi, anajifundisha Muislam tauhid
i ili aifanyie kazi, na
ajifundishe yanayo kwenda kinyume na tauhidi ili ajiepushe nayo,
haya ndio mafungamano ya Shahada mbili, vilevile ajifundishe nguzo
za swala na sharti zake, na yalio yalazima ndani ya swala, na sunna za
swala
.
Vilevile ajifundishe
hukumu za zaka, na ajifundishe hukumu za funga,
na ajifundishe hukumu za hija, anapotaka kuhiji ni lazima ajifundishe
hukumu za hija na hukumu za umra, ili atekeleze ibada hizi katika njia
ilio amrishwa
.
Na kipengele hiki hakuna udhuru kwa yeyote kuto kiju
a, nacho
kinaitwa ulazima wa kila Muislam
.
Sehemu ya pili katika vigawanyo vya elimu: nayo ni tofauti na elimu
ya kisheria ambayo umma unaihitaji kwa ujumla wake, nasio kila mtu
huihitaji, mfano hukumu za kuuza na kununua na hukumu za
muamala, na hukumu
za kutoa wakfu,na mirathi na usia, na hukumu
za kuoa, na hukumu za makosa ya jinai, mambo haya nilazima kwa
umma; lakini sio lazima kwa kila mtu kujifundisha, isipokuwa watapo
jifundisha wenye kutosheleza na malengo yakatimia miongoni mwa
wanachuoni yatosh
a; jambo hili linaitwa: faradhi kifaya, wakifanya
baadhi ya watu madhambi huondoka kwa wengine, na watapo liacha
wote basi hupata dhambi wote
.
Kitabu hiki kinazungumzia masomo katika umuhimu wa Tawhiid kimezungumzia: Walaa na Balaa, na uislam ndio dini ya nabii Ibrahim, Niwajibu kwa Mwanadamu amuabudu Mwenyezi Mungu peke yake, jambo kubwa alilo amrisha Mwenyezi Mungu waja wake ni Tawhiidi, na Nini maana ya Tawhiidi.?
سنة النشر : 2017م / 1438هـ .
حجم الكتاب عند التحميل : 820.7 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة:
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني و يمكنك تحميله من هنا:
شكرًا لمساهمتكم
شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:
قبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'