❞ كتاب UBORA WA UISLAMU ❝  ⏤ محمد بن عبد الوهاب

❞ كتاب UBORA WA UISLAMU ❝ ⏤ محمد بن عبد الوهاب

Allaah (Ta ́ala) amesema:

"Leo Nimekukamilishieni Dini yenu na Nime kutimizieni neema
Yangu na Nimekuridhieni kwenu Uislamu uwe [ndio] Dini yenu."
(05:03)

"Sema: “Enyi watu! Ikiwa mna shaka kutokana na Dini yangu, basi
[mimi] siabudu ambavyo mnaviabudu badala ya Allaah; lakini
namwabudu Allaah Ambaye [siku moja] Atakufisheni." (10:104)

"Enyi mlioamini! Mcheni Allaah na muaminini Mtume Wake! Hapo
Atakupeni sehemu mbili kati ya Rahmah Zake na Atakujaalieni Nuru
mnatembea nayo na Akusameheeni - Allaah ni Ghafuwrur-Rahiym,
Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu." (57:28)
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Ibn ́Umar (Radhiya Allaahu ́anhumaa) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab

"Mfano wenu nyinyi na watu wa Kitabu ni kama mfano mtu mwenye kukodisha
wafanyakazi na akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia
asubuhi mpaka mchana kwa senti moja?" Mayahudi wakafanya hivo. Halafu
akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyia kazi kuanzia mchana mpaka
́Aswr kwa senti moja?" Manaswara wakafanya hivo. Kisha akasema: "Ni nani katika
nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia ́Aswr mpaka jua kuzama kwa senti
mbili?" Ndio nyinyi. Mayahudi na manaswara wakakasirika na kusema: "Ni kwa
nini sisi ndio tufanye kazi sana na kupata ujira mdogo?" Akasema: "Nimepunguza
kitu katika haki yenu?" Wakasema: "Hapana." Ndipo akasema: "Hiyo ni fadhila
yangu ninampa yule ninayemtaka."1
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ́anh) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:
"Allaah amewapoteza waliokuwa kabla yetu siku ya ijumaa. Mayahudi wakapata
jumamosi na manaswara jumapili. Allaah akatuleta na akatuongoza siku ya ijumaa.
Kadhalika watatufuata siku ya Qiyaamah. Sisi ndio wa mwisho katika dunia hii, wa
kwanza siku ya Qiyaamah."2
al-Bukhaariy amepokea kwa mlolongo wa wapokezi wenye kupungua kwamba
Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:
"Dini yenye kupendwa zaidi na Allaah ni ule upwekeshaji mwepesi."3
Ubayy bin Ka ́b (Radhiya Allaahu ́anh) amesema:
"Shikamaneni na Njia na Sunnah. Hakuna mja mwenye kushikamana na Njia na
Sunnah akamfikiria Allaah mpaka macho yake yakatiririka machozi kwa
kumwogopa Allaah kisha aunguzwe na Moto. Hakuna mja mwenye kushikamana
1
al-Bukhaariy (2268).
2
al-Bukhaariy (876) na Muslim (855).
3
al-Bukhaariy katika ”al-Adab al-Mufrad” (1/108).

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab

محمد بن عبد الوهاب - مُحَمَّدُ بنُ عَبْدِ الوَهَّابِ بنِ سُلَيْمَانَ التَّمِيْمِيُّ (1115 - 1206هـ) (1703م - 1791م) عالم دين سني حنبلي، يعتبره البعض من مجددي الدين الإسلامي في شبه الجزيرة العربية حيث شرع في دعوة المسلمين للتخلص من البدع والخرافات ونبذ الشرك التي انتشرت في أطراف الدولة العثمانية حول ولاية الحجاز وولاية اليمن والربع الخالي.

ولد في العيينة وسط نجد سنة 1115 هـ الموافق من عام 1703م، لأسرة ينسب إليها عدد من علماء الدين، كان جدُّه سليمان بن علي بن مشرف من أشهر العلماء في الجزيرة العربية في عصره، وكذلك كان والده عالمًا فقيهًا على مذهب الإمام أحمد بن حنبل وأحد القضاة المعروفين، فقد تولَّى القضاء في عدَّة جهات؛ مثل: العيينة وحريملاء، وكان عمُّه الشيخ إبراهيم بن سليمان من مشاهير العلماء في تلك البلاد.

❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ التوحيد ❝ ❞ التوحيد الذي هو حق الله على العبيد ❝ ❞ التوحيد ( طبعة متميزة ) ❝ ❞ كشف الشبهات في التوحيد ❝ ❞ مؤلفات الشيخ الإمام محمد بن عبد الوهاب ❝ ❞ الأصول الثلاثة وشروط الصلاة والقواعد الأربع وكتاب التوحيد وكشف الشبهات والواجبات المتحتمات والأربعون النووية ❝ ❞ بداية سيرة الرسول صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ متن نواقض الإسلام ❝ ❞ إعلام الأنام بشرح كتاب فضل الإسلام ❝ الناشرين : ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار القاسم للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة العلوم والحكم ❝ ❞ جامعة الملك سعود ❝ ❞ مكتبة الاسدى للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ وزارة الأوقاف والشئون الإسلامية - السعودية ❝ ❞ مكتبة التوبة ❝ ❞ دار العقيدة ❝ ❞ وزارة الشؤون الإسلامية والدعوة والإرشاد ❝ ❞ دار العلم ❝ ❞ دار المؤيد ❝ ❞ وزارة الشئون الاسلامية ❝ ❞ المركز الإسلامي للطباعة والنشر ❝ ❞ دار أنس بن مالك للنشر و التوزيع ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
UBORA WA UISLAMU

Allaah (Ta ́ala) amesema:

"Leo Nimekukamilishieni Dini yenu na Nime kutimizieni neema
Yangu na Nimekuridhieni kwenu Uislamu uwe [ndio] Dini yenu."
(05:03)

"Sema: “Enyi watu! Ikiwa mna shaka kutokana na Dini yangu, basi
[mimi] siabudu ambavyo mnaviabudu badala ya Allaah; lakini
namwabudu Allaah Ambaye [siku moja] Atakufisheni." (10:104)

"Enyi mlioamini! Mcheni Allaah na muaminini Mtume Wake! Hapo
Atakupeni sehemu mbili kati ya Rahmah Zake na Atakujaalieni Nuru
mnatembea nayo na Akusameheeni - Allaah ni Ghafuwrur-Rahiym,
Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu." (57:28)
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Ibn ́Umar (Radhiya Allaahu ́anhumaa) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab

"Mfano wenu nyinyi na watu wa Kitabu ni kama mfano mtu mwenye kukodisha
wafanyakazi na akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia
asubuhi mpaka mchana kwa senti moja?" Mayahudi wakafanya hivo. Halafu
akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyia kazi kuanzia mchana mpaka
́Aswr kwa senti moja?" Manaswara wakafanya hivo. Kisha akasema: "Ni nani katika
nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia ́Aswr mpaka jua kuzama kwa senti
mbili?" Ndio nyinyi. Mayahudi na manaswara wakakasirika na kusema: "Ni kwa
nini sisi ndio tufanye kazi sana na kupata ujira mdogo?" Akasema: "Nimepunguza
kitu katika haki yenu?" Wakasema: "Hapana." Ndipo akasema: "Hiyo ni fadhila
yangu ninampa yule ninayemtaka."1
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ́anh) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:
"Allaah amewapoteza waliokuwa kabla yetu siku ya ijumaa. Mayahudi wakapata
jumamosi na manaswara jumapili. Allaah akatuleta na akatuongoza siku ya ijumaa.
Kadhalika watatufuata siku ya Qiyaamah. Sisi ndio wa mwisho katika dunia hii, wa
kwanza siku ya Qiyaamah."2
al-Bukhaariy amepokea kwa mlolongo wa wapokezi wenye kupungua kwamba
Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) amesema:
"Dini yenye kupendwa zaidi na Allaah ni ule upwekeshaji mwepesi."3
Ubayy bin Ka ́b (Radhiya Allaahu ́anh) amesema:
"Shikamaneni na Njia na Sunnah. Hakuna mja mwenye kushikamana na Njia na
Sunnah akamfikiria Allaah mpaka macho yake yakatiririka machozi kwa
kumwogopa Allaah kisha aunguzwe na Moto. Hakuna mja mwenye kushikamana
1
al-Bukhaariy (2268).
2
al-Bukhaariy (876) na Muslim (855).
3
al-Bukhaariy katika ”al-Adab al-Mufrad” (1/108).

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin ́Abdil-Wahhaab

.
المزيد..

تعليقات القرّاء:

Utukufu wa Uislamu ........................................................................................................ 3
2. Uwajibu wa kuingia katika Uislamu................................................................................ 6
3. Maana ya Uislamu ........................................................................................................... 9
4. Na yeyote anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitokubaliwa kwake .............. 11
5. Ni wajibu kufuata Qur-aan peke yake ........................................................................... 12
6. Hakuna manasibisho yasiyokuwa ya Kiislamu ............................................................. 13
7. Uwajibu wa kujisalimisha kikamilifu na kuacha mengine yote .................................... 15
8. Bid ́ah ni mbaya zaidi kuliko madhambi makubwa ...................................................... 18
9. Allaah ameizuia tawbah kwa mtu wa Bid ́ah ................................................................ 20
10. Watu wa Kitabu ni kwanini mnahojiana kuhusu Ibraahiym?...................................... 21
11. Elekeza uso wako katika Dini yenye imani safi na iliyotakasika ................................ 23
12. Ugeni wa Uislamu na ubora wa wageni ...................................................................... 30
13. Matahadharisho ya Bid ́ah ........................................................................................... 33

Allaah (Ta ́ala) amesema:

"Leo Nimekukamilishieni Dini yenu na Nime kutimizieni neema
Yangu na Nimekuridhieni kwenu Uislamu uwe [ndio] Dini yenu."
(05:03)

"Sema: “Enyi watu! Ikiwa mna shaka kutokana na Dini yangu, basi
[mimi] siabudu ambavyo mnaviabudu badala ya Allaah; lakini
namwabudu Allaah Ambaye [siku moja] Atakufisheni." (10:104)

"Enyi mlioamini! Mcheni Allaah na muaminini Mtume Wake! Hapo
Atakupeni sehemu mbili kati ya Rahmah Zake na Atakujaalieni Nuru
mnatembea nayo na Akusameheeni - Allaah ni Ghafuwrur-Rahiym,
Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu." (57:28)
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Ibn  ́Umar (Radhiya Allaahu  ́anhumaa) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) amesema:

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin  ́Abdil-Wahhaab

"Mfano wenu nyinyi na watu wa Kitabu ni kama mfano mtu mwenye kukodisha
wafanyakazi na akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia
asubuhi mpaka mchana kwa senti moja?" Mayahudi wakafanya hivo. Halafu
akasema: "Ni nani katika nyinyi anayetaka kunifanyia kazi kuanzia mchana mpaka
 ́Aswr kwa senti moja?" Manaswara wakafanya hivo. Kisha akasema: "Ni nani katika
nyinyi anayetaka kunifanyiakazi kuanzia  ́Aswr mpaka jua kuzama kwa senti
mbili?" Ndio nyinyi. Mayahudi na manaswara wakakasirika na kusema: "Ni kwa
nini sisi ndio tufanye kazi sana na kupata ujira mdogo?" Akasema: "Nimepunguza
kitu katika haki yenu?" Wakasema: "Hapana." Ndipo akasema: "Hiyo ni fadhila
yangu ninampa yule ninayemtaka."1
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu  ́anh) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) amesema:
"Allaah amewapoteza waliokuwa kabla yetu siku ya ijumaa. Mayahudi wakapata
jumamosi na manaswara jumapili. Allaah akatuleta na akatuongoza siku ya ijumaa.
Kadhalika watatufuata siku ya Qiyaamah. Sisi ndio wa mwisho katika dunia hii, wa
kwanza siku ya Qiyaamah."2
al-Bukhaariy amepokea kwa mlolongo wa wapokezi wenye kupungua kwamba
Mtume (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) amesema:
"Dini yenye kupendwa zaidi na Allaah ni ule upwekeshaji mwepesi."3
Ubayy bin Ka ́b (Radhiya Allaahu  ́anh) amesema:
"Shikamaneni na Njia na Sunnah. Hakuna mja mwenye kushikamana na Njia na
Sunnah akamfikiria Allaah mpaka macho yake yakatiririka machozi kwa
kumwogopa Allaah kisha aunguzwe na Moto. Hakuna mja mwenye kushikamana
1
al-Bukhaariy (2268).
2
al-Bukhaariy (876) na Muslim (855).
3
al-Bukhaariy katika ”al-Adab al-Mufrad” (1/108).

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin  ́Abdil-Wahhaab

na Njia na Sunnah akamfikiria Allaah mpaka mwili wake ukasisimka kwa
kumwogopa Allaah isipokuwa mfano wake ni kama mfano wa jani kavu kwenye
mti lenye kuruka hewani; hali kadhalika yanamtoka madhambi yake. Ni bora kuwa
mwenye kujizuia katika Njia na Sunnah kuliko kuwa na bidii katika yanayokwenda
kinyume na Njia na Sunnah."4
Abud-Dardaa ́ (Radhiya Allaahu  ́anh) amesema:
"Kule wale wenye busara wakawa ni wenye kulala na kuacha kufunga ni bora
kuliko wajinga kuswali usiku na kufunga. Chembe kidogo ya wema ilio pamoja na
uchaMungu na yakini, ni bora na ni yenye uzito kuliko  ́ibaadah za
waliodanganyika zilizo kubwa sawa na mlima."5

Allaah (Ta ́ala) amesema:

"Na yeyote anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitokubaliwa
kwake, naye katika Aakhirah atakuwa miongoni mwa waliokhasirika."
(03:85)

"Hakika Dini mbele ya Allaah ni Uislamu." (03:19)

“Hii ndio njia Yangu, [njia] iliyonyooka; basi ifuateni na wala msifuate
vichochoro [vinginevyo]; vikakufarikisheni na njia Yake!" (06:153)
Mujaahid amesema:
"Vichochoro ni Bid ́ah na utata."
 ́Aaishah (Radhiya Allaahu  ́anhaa) amesema kuwa Mtume wa Allaah (Swalla
Allaahu  ́alayhi wa sallam) amesema:
"Mwenye kuzusha katika amri yetu hii yasiyokuwemo yatarudishwa."6
Ameipokea al-Bukhaariy na Muslim.
Katika upokezi mwingine imekuja

"Mwenye kufanya tendo lisiloafikiana na amri yetu litarudishwa."7
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu  ́anh) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) amesema:
"Ummah wangu wote utaingia Peponi isipokuwa yule asiyetaka." Wakasema: "Ee
Mtume wa Allaah! Ni nani atayekataa?" Akasema: "Mwenye kunitii ataingia Peponi
na mwenye kuniasi amekataa."8
al-Bukhaariy amepokea kupitia kwa Ibn  ́Abbaas (Radhiya Allaahu  ́anhumaa) ya
kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) amesema:
"Watu wanaochukiwa zaidi na Allaah ni watatu; mtenda dhambi Haram, mwenye
kutaka katika Uislamu kitu cha Jaahiliyyah na mwenye kuomba damu ya mtu
muislamu pasina haki ili amwage damu yake."9
Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
"Kitu cha Jaahiliyyah inahusu kila kitu cha Jaahiliyyah, isiyofungwa [mutlaq] au
iliyofungwa [muqayyad] kwa mtu kama myahudi, mnaswara, mwabudu sanamu au
mwingine mwenye kwenda kinyume na yale waliyokuja nayo Mitume."
al-Bukhaariy amepokea kutoka kwa Hudhayfah ambaye amesema:
"Enyi wanazuoni! Bakieni katika njia iliyonyooka! Mkifanya hivo basi mmetangulia
mbele. Na mkienda kuliani na kushotoni basi mmepotea upotevu wa mbali
kabisa."10

7 Muslim (1718).
8
al-Bukhaariy (7280).
9
al-Bukhaariy (6882).
10 al-Bukhaariy (7282).

Fadhwl-ul-Islaam
Muhammad bin  ́Abdil-Wahhaab

Muhammad bin Wadhdhwaah ameeleza jinsi Hudhayfah alivyokuwa akiingia
msikitini na kusema haya. Akasema:
"Sufyaan bin  ́Uyaynah ametueleza, kutoka kwa Mujaalid bin Sa ́iyd, kutoka kwa
 ́Aamir ash-Sha ́biy, kutoka kwa Masruuq ambaye ameeleza kuwa  ́Abdullaah bin
Mas ́uud (Radhiya Allaahu  ́anh) amesema:
"Hakuna mwaka unaokuja isipokuwa ulio baada yake ni mbaya zaidi. Simaanishi
kuwa kuna mwaka wenye kunyesha zaidi kuliko mwingine au wenye rutuba zaidi
kuliko mwingine wala kiongozi ambaye ni bora kuliko mwingine. Ninachomaanisha
ni kwenda kwa wanazuoni wenu na watu wenu bora. Kisha kutajitokeza watu
ambao watayakisia mambo kwa matamanio yao ambapo watauharibu Uislamu na
uangamie."11
:

 Kitabu hiki kilicho tafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, kinazungumzia: Maana ya uislamu, ubora wa uislamu na uwajibu wa kuingia katika uislamu.

حجم الكتاب عند التحميل : 781.3 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة UBORA WA UISLAMU

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل UBORA WA UISLAMU
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
محمد بن عبد الوهاب - Mohammed bin AbdulWahab

كتب محمد بن عبد الوهاب مُحَمَّدُ بنُ عَبْدِ الوَهَّابِ بنِ سُلَيْمَانَ التَّمِيْمِيُّ (1115 - 1206هـ) (1703م - 1791م) عالم دين سني حنبلي، يعتبره البعض من مجددي الدين الإسلامي في شبه الجزيرة العربية حيث شرع في دعوة المسلمين للتخلص من البدع والخرافات ونبذ الشرك التي انتشرت في أطراف الدولة العثمانية حول ولاية الحجاز وولاية اليمن والربع الخالي. ولد في العيينة وسط نجد سنة 1115 هـ الموافق من عام 1703م، لأسرة ينسب إليها عدد من علماء الدين، كان جدُّه سليمان بن علي بن مشرف من أشهر العلماء في الجزيرة العربية في عصره، وكذلك كان والده عالمًا فقيهًا على مذهب الإمام أحمد بن حنبل وأحد القضاة المعروفين، فقد تولَّى القضاء في عدَّة جهات؛ مثل: العيينة وحريملاء، وكان عمُّه الشيخ إبراهيم بن سليمان من مشاهير العلماء في تلك البلاد. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ التوحيد ❝ ❞ التوحيد الذي هو حق الله على العبيد ❝ ❞ التوحيد ( طبعة متميزة ) ❝ ❞ كشف الشبهات في التوحيد ❝ ❞ مؤلفات الشيخ الإمام محمد بن عبد الوهاب ❝ ❞ الأصول الثلاثة وشروط الصلاة والقواعد الأربع وكتاب التوحيد وكشف الشبهات والواجبات المتحتمات والأربعون النووية ❝ ❞ بداية سيرة الرسول صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ متن نواقض الإسلام ❝ ❞ إعلام الأنام بشرح كتاب فضل الإسلام ❝ الناشرين : ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار القاسم للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة العلوم والحكم ❝ ❞ جامعة الملك سعود ❝ ❞ مكتبة الاسدى للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ وزارة الأوقاف والشئون الإسلامية - السعودية ❝ ❞ مكتبة التوبة ❝ ❞ دار العقيدة ❝ ❞ وزارة الشؤون الإسلامية والدعوة والإرشاد ❝ ❞ دار العلم ❝ ❞ دار المؤيد ❝ ❞ وزارة الشئون الاسلامية ❝ ❞ المركز الإسلامي للطباعة والنشر ❝ ❞ دار أنس بن مالك للنشر و التوزيع ❝ ❱. المزيد..

كتب محمد بن عبد الوهاب