❞ كتاب AQIDATUL WASITWYYAH ❝  ⏤ أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني

❞ كتاب AQIDATUL WASITWYYAH ❝ ⏤ أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني

Swalah na salaam zimfikishie mbora wa viumbe, Muhammad (وسلم وآله عليه اهلل صلى ,(
ahli zake, Maswahabah wake na kila mwenye kufuata mienendo yao. Amma
ba ́ad:

Hakika hiki ni kitabu kilichoandikwa kwa ufupi kubainisha I ́tiqaad sahihi ya Al-
us-Sunnah wal-Jamaa ́ah, kiitwacho “al- ́Aqiydah al-Waasitwiyyah”

alichokiandika Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin ́Abdil-Haliym bin ́Abdis-Salaam
Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alokufa mwaka 728 H.
Sababu ya kuandika kitabu hichi, alimjilia bwana mmoja alokuwa Qaadhiy katika
mji wa Waasitw akamshtakia Shaykh-ul-Islaam uharibifu na upotofu uliopo
katika mji wao katika upande wa I ́tiqaad ya Majina ya Allaah na Sifa Zake.
Akaandika kitabu hichi chenye kuzingatiwa kama tegemeo la msingi wa I ́tiqaad
sahihi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah katika mambo ambayo waliyozama nayo
watu katika Bid ́ah.

Hakika ni kitabu ambacho kilichokusanya mfumo sahihi wa Ahl-us-Sunnah wal-
Jamaa ́ah. Jambo ambalo Muislamu siku zote hatosheki nalo, bali alihitajia siku

zote katika maisha yake, kwa kwamba ́Aqiydah ndio msingi. Kitabu ambacho ni
dalili tosha ya kuonesha umuhimu wake katika Ummah wa Kiislamu kwa kule
kubahatika kupata Qabuul (kukubaliwa) kwa kushereheshwa na wanazuoni wa
Kiislamu wa Ahl-us-Sunnah mbalimbali katika zama tofautitofauti, bali na
kusomeshwa katika ulimwengu wa Kiislamu tokea zama hizo mpaka leo na
mpaka ulimwengu utakapomalizika.
Na leo nazidi kumshukuru Allaah (وتعالى سبحانه (na kufurahi tena kwa kuwa kijana
chetu mpendwa – Allaah Amuhifadhi – al-Akh Abu Bakr Khatwiyb. Amesimama
na kukifasiri kitabu hichi kwa lugha ya Kiswahili ili mujtamaa wetu ufaidike na
kujua misingi sahihi ya I ́tiqaad ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah. Allaah Ampe

kula la kheri hapa duniani na huko Aakhirah na Aijaalie ́amali hii iwe Swadaqat-
un-Jaariyah ya mzee wake alokwenda mbele ya haki. Allaah Amrahamu na

Amuweke mahali pema. Na yeye ampe afya njema na Ikhlaasw na hima
kuendelea kufanya kazi hii ya uandishi na nyinginezo za Da ́wah ili mujtamaa
wa Kiislamu unufaike na Amuwekee katika mizani ya hasanati zake.
Wa SwallaAllaahu ́alaa Muhammad wa ́alaa alihi wa Aswhaabihi wa Sallam.

Kitabu hiki kinazunguzia mas’ala ya Aqidah Tawhid
أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني - تَقِيُّ الدِّينِ أَبُو الْعَبَّاسِ أَحْمَدُ بْنُ عَبْدِ الْحَلِيمِ بْنِ عَبْدِ السَّلَامِ النُّمَيْرِيُّ الْحَرَّانِيُّ (661هـ - 728هـ / 1263م - 1328م) المشهور باسم ابن تيميَّة. هو فقيه ومحدث ومفسر وفيلسوف ومتكلم وعالم مسلم مجتهد من علماء أهل السنة والجماعة.

وهو أحد أبرز العلماء المسلمين خلال النصف الثاني من القرن السابع والثلث الأول من القرن الثامن الهجري. نشأ ابن تيميَّة حنبلي المذهب فأخذ الفقه الحنبلي وأصوله عن أبيه وجده، كما كان من الأئمة المجتهدين في المذهب، فقد كان يفتي في العديد من المسائل على خلاف معتمد الحنابلة لما يراه موافقاً للدليل من الكتاب والسُنة ثم على آراء الصحابة وآثار السلف.

❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ التفسير الكبير ❝ ❞ من فتاوى شيخ الإسلام ابن تيمية ❝ ❞ علم الحديث (ت: ابن تيمية) ❝ ❞ تزكية النفس لابن تيمية ❝ ❞ حقيقة الصيام ❝ ❞ الإيمان _ شيخ الإسلام ❝ ❞ طب القلوب ❝ ❞ اقتضاء الصراط المستقيم لمخالفة أصحاب الجحيم ❝ ❞ فتاوى الزواج وعشرة النساء ❝ الناشرين : ❞ جميع الحقوق محفوظة للمؤلف ❝ ❞ دار الكتب العلمية بلبنان ❝ ❞ دار الشروق للنشر والتوزيع: مصر - لبنان ❝ ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ مؤسسة الرسالة ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار ابن حزم للطباعة والنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الكتاب العربي ❝ ❞ الدار المصرية اللبنانية ❝ ❞ المكتبة العصرية ❝ ❞ المكتب الإسلامي للطباعة والنشر ❝ ❞ دار ابن الجوزي ❝ ❞ مكتبة المعارف للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الفكر العربي بمصر ❝ ❞ دار إحياء التراث العربي ❝ ❞ عالم الكتب ❝ ❞ مركز دراسات الوحدة العربية ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة الرشد ❝ ❞ مجمع الملك فهد ❝ ❞ دار المنهاج للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوفاء لدنيا الطباعة والنشر ❝ ❞ دار عالم الفوائد للنشر والتوزيع ❝ ❞ مؤسسة الريان للطباعة والنشر والتوزيع ❝ ❞ دار العاصمة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والعلاقات العامة ❝ ❞ دار القاسم للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الفضيلة ❝ ❞ مكتبة التراث الاسلامي ❝ ❞ دار مكتبة الحياة ❝ ❞ مكتبة العلوم والحكم ❝ ❞ دار الصحابة للتراث بطنطا ❝ ❞ دار هجر للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الصميعي للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة ابن تيمية ❝ ❞ دار كنوز إشبيليا ❝ ❞ مكتبه المنار ❝ ❞ دار أضواء السلف ❝ ❞ مكتبة دار البيان ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ دار الفكر اللبناني ❝ ❞ الرئاسة العامة للبحوث العلمية والإفتاء ❝ ❞ المكتبة السلفية ❝ ❞ دار الكتب السلفية ❝ ❞ مكتبة الإيمان ❝ ❞ دار الكتاب الجديد المتحدة ❝ ❞ مكتبة التوبة ❝ ❞ دار الفتح ❝ ❞ الذهبية ❝ ❞ دار الوطن ❝ ❞ مجمع الفقه الاسلامي _بجدة ❝ ❞ مؤسسة الدرر السنية ❝ ❞ دار الهجرة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الريان للتراث ❝ ❞ مؤسسة قرطبة ❝ ❞ دار المسلم ❝ ❞ دار الأنصار ❝ ❞ دار السلام للنشر والتوزيع-الرياض ❝ ❞ دار المدني ❝ ❞ دار علم الفوائد للنشر و التوزيع ❝ ❞ المكتب التعاوني للدعوة والإرشاد ❝ ❞ توزيع الجامعة الاسلامية بالمدينة المنورة ❝ ❞ دار المجتمع للنشر والتوزيع - جدة ❝ ❞ مكتبة الحرمين بالرياض ❝ ❞ دار ابن تيمية ❝ ❞ دار الفجر للتراث ❝ ❞ المطبعة الرحمانية بمصر ❝ ❞ دار الطباعة المحمدية ❝ ❞ دار أصالة للنشر ❝ ❞ دار البيان العربي ❝ ❞ مكتبة التوعية الإسلامية ❝ ❞ مكتبة الصديق ❝ ❞ إدارة الطباعة المنيرية ❝ ❞ دار الأصالة للثقافة والنشر ❝ ❞ شركة دار الأرقم بن أبي الأرقم للطباعة والنشر والتوزيع ❝ ❞ دار التراث العربي ❝ ❞ مكتبة الطرفين للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الكتاب الأسلامي ❝ ❞ دار البيان - مؤسسة علوم القرأن ❝ ❞ الرئاسة العامة للبحوث والافتاء ❝ ❞ مكتبة المورد ❝ ❞ مطبعة الحكومة-بدمشق- ❝ ❞ مكتبة الحافظ الذهبي ❝ ❞ دار المكر اللبنانى ❝ ❞ دار القبلة - جدة ❝ ❞ مطابع الصفا ❝ ❞ صهيب الدين وأخوانه ❝ ❞ دار الافتاء الرياض ❝ ❞ مكتبة حميدو ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
AQIDATUL WASITWYYAH

Swalah na salaam zimfikishie mbora wa viumbe, Muhammad (وسلم وآله عليه اهلل صلى ,(
ahli zake, Maswahabah wake na kila mwenye kufuata mienendo yao. Amma
ba ́ad:

Hakika hiki ni kitabu kilichoandikwa kwa ufupi kubainisha I ́tiqaad sahihi ya Al-
us-Sunnah wal-Jamaa ́ah, kiitwacho “al- ́Aqiydah al-Waasitwiyyah”

alichokiandika Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin ́Abdil-Haliym bin ́Abdis-Salaam
Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alokufa mwaka 728 H.
Sababu ya kuandika kitabu hichi, alimjilia bwana mmoja alokuwa Qaadhiy katika
mji wa Waasitw akamshtakia Shaykh-ul-Islaam uharibifu na upotofu uliopo
katika mji wao katika upande wa I ́tiqaad ya Majina ya Allaah na Sifa Zake.
Akaandika kitabu hichi chenye kuzingatiwa kama tegemeo la msingi wa I ́tiqaad
sahihi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah katika mambo ambayo waliyozama nayo
watu katika Bid ́ah.

Hakika ni kitabu ambacho kilichokusanya mfumo sahihi wa Ahl-us-Sunnah wal-
Jamaa ́ah. Jambo ambalo Muislamu siku zote hatosheki nalo, bali alihitajia siku

zote katika maisha yake, kwa kwamba ́Aqiydah ndio msingi. Kitabu ambacho ni
dalili tosha ya kuonesha umuhimu wake katika Ummah wa Kiislamu kwa kule
kubahatika kupata Qabuul (kukubaliwa) kwa kushereheshwa na wanazuoni wa
Kiislamu wa Ahl-us-Sunnah mbalimbali katika zama tofautitofauti, bali na
kusomeshwa katika ulimwengu wa Kiislamu tokea zama hizo mpaka leo na
mpaka ulimwengu utakapomalizika.
Na leo nazidi kumshukuru Allaah (وتعالى سبحانه (na kufurahi tena kwa kuwa kijana
chetu mpendwa – Allaah Amuhifadhi – al-Akh Abu Bakr Khatwiyb. Amesimama
na kukifasiri kitabu hichi kwa lugha ya Kiswahili ili mujtamaa wetu ufaidike na
kujua misingi sahihi ya I ́tiqaad ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah. Allaah Ampe

kula la kheri hapa duniani na huko Aakhirah na Aijaalie ́amali hii iwe Swadaqat-
un-Jaariyah ya mzee wake alokwenda mbele ya haki. Allaah Amrahamu na

Amuweke mahali pema. Na yeye ampe afya njema na Ikhlaasw na hima
kuendelea kufanya kazi hii ya uandishi na nyinginezo za Da ́wah ili mujtamaa
wa Kiislamu unufaike na Amuwekee katika mizani ya hasanati zake.
Wa SwallaAllaahu ́alaa Muhammad wa ́alaa alihi wa Aswhaabihi wa Sallam.

Kitabu hiki kinazunguzia mas’ala ya Aqidah Tawhid .
المزيد..

تعليقات القرّاء:

Utangulizi wa mpitiaji .......................................................................................................... 4
Kuamini Majina na Sifa za Allaah...................................................................................... 8

Kuamini yale Aliyojisifia Allaah Nafsi Yake Mwenyewe katika Kitabu Chake...... 9
Dalili ya Uhai wa Allaah................................................................................................. 10
Dalili ya Elimu ya Allaah................................................................................................ 10
Dalili ya Nguvu za Allaah .............................................................................................. 11
Dalili ya Kuona na Kusikia kwa Allaah ...................................................................... 11
Dalilia ya Matakwa ya Allaah........................................................................................ 12
Dalili ya Kupenda kwa Allaah ...................................................................................... 12
Dalili ya Kuridhia kwa Allaah....................................................................................... 13
Dalili ya Wingi wa Huruma na Kurehemu kwa Allaah ........................................... 14
Dalili ya Hasira na Kughadhibika kwa Allaah na kuchukia Kwake ndani ya
Qur-aa na kwamba Yeye Allaah Amesifika kwa hilo.............................................. 14
Dalili ya Kuwasili na Kuja kwa Allaah ....................................................................... 15
Dalili ya Uso wa Allaah................................................................................................... 16
Dalili ya Mikono ya Allaah ............................................................................................ 16
Dalili ya Macho ya Allaah .............................................................................................. 17
Dalili ya Kusikia na Kuona kwa Allaah ...................................................................... 17
Dalili ya Adhabu na Njama za Allaah.......................................................................... 18
Dalili ya Kusamehe, Kurehemu na Uwezo wa Allaah.............................................. 19
Dalili ya Majina ya Allaah.............................................................................................. 20
Aayah zinazokanusha ulinganisho na ushirika pamoja na Allaah........................ 20
Dalili ya kulingana kwa Allaah juu ya  ́Arshi............................................................ 22
Dalili ya kwamba Allaah Yuko juu ya viumbe Vyake ............................................. 23
Dalili ya Allaah kuwa pamoja na viumbe Vyake kwa Ujuzi Wake....................... 23
Dalili ya Maneno na Kuongea kwa Allaah ................................................................. 25
Dalili ya kwamba Qur-aan inatoka kwa Allaah......................................................... 28
Dalili ya kwamba waumini watamuona Allaah siku ya Qiyaamah ...................... 28
Sifa za Allaah zimetajwa katika Sunnah......................................................................... 29
Dalili ya kwamba Allaah Huteremka katika mbingu ya chini ............................... 29
Dalili ya Kufurahi kwa Allaah ...................................................................................... 30
Dalili ya Kucheka kwa Allaah....................................................................................... 30
Dalili ya Kustaajabu kwa Allaah .................................................................................. 30
Dalili ya Mguu wa Allaah............................................................................................... 30

al- ́Aqiydah al-Waasitwiyyah

4

Dalili ya Maneno na Sauti ya Allaah............................................................................ 30
Dalili ya kwamba Allaah Yuko juu ya mbingu na Sifa zingine ............................. 31
Dalili ya Allaah Kuwa pamoja na viumbe Vyake kwa Ujuzi wake....................... 32
Dalili ya Allaah kuwa mbele ya yule mwenye kuswali........................................... 32
Dalili ya kwamba Allaah Yuko juu ya viumbe Vyake na Sifa zingine................. 32
Dalili ya kwamba Allaah Yuko Karibu........................................................................ 32
Dalili ya kwamba waumini watamuona Allaah siku ya Qiyaamah ...................... 33
Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah, watu wa kati na kati..................................................... 33
Kati ya Jahmiyyah na Mushabbihah ............................................................................ 33
Kati ya Qadariyyah na Jabriyyah .................................................................................. 34
Kati ya Murji-ah na Wa ́iydiyyah.................................................................................. 34
Kati ya Haruuriyyah na Mu ́tazilah na Murji-ah na Jahmiyyah............................. 34
Kati ya Rawaafidhw na Khawaarij ............................................................................... 34
Kuamini kuwa Allaah Yuko juu ya mbingu na juu ya  ́Arshi na kwamba Yuko na
viumbe Vyake .......................................................................................................................

Kuamini kuwa Allaah Yuko karibu na viumbe Vyake ................................................ 35
Kuamini kuwa Qur-aan inatoka kwa Allaah na haikuumbwa................................... 36
Kuamini kuwa waumini watamuona Allaah siku ya Qiyaamah ............................... 36
Kuamini Aakhirah ............................................................................................................... 37
Hodhi (birika), Njia na Shafaa ́ah..................................................................................... 38
Kuamini Qadar; kheri na shari yake ................................................................................ 39
Imani, matendo na kauli..................................................................................................... 42
Mfumo sahihi kuhusiana na Maswahabah..................................................................... 43
Kuamini karama za Mawalii.............................................................................................. 48
Kufuata Njia ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) na
Maswahabah wake............................................................................................................... 48
Sifa tukufu za Ahl-us-Sunnah........................................................................................... 49
Hitimisho ...............................................................................................................................

Swalah na salaam zimfikishie mbora wa viumbe, Muhammad (وسلم وآله عليه اهلل صلى ,(
ahli zake, Maswahabah wake na kila mwenye kufuata mienendo yao. Amma
ba ́ad:

Hakika hiki ni kitabu kilichoandikwa kwa ufupi kubainisha I ́tiqaad sahihi ya Al-
us-Sunnah wal-Jamaa ́ah, kiitwacho “al- ́Aqiydah al-Waasitwiyyah”

alichokiandika Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin  ́Abdil-Haliym bin  ́Abdis-Salaam
Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alokufa mwaka 728 H.
Sababu ya kuandika kitabu hichi, alimjilia bwana mmoja alokuwa Qaadhiy katika
mji wa Waasitw akamshtakia Shaykh-ul-Islaam uharibifu na upotofu uliopo
katika mji wao katika upande wa I ́tiqaad ya Majina ya Allaah na Sifa Zake.
Akaandika kitabu hichi chenye kuzingatiwa kama tegemeo la msingi wa I ́tiqaad
sahihi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah katika mambo ambayo waliyozama nayo
watu katika Bid ́ah.

Hakika ni kitabu ambacho kilichokusanya mfumo sahihi wa Ahl-us-Sunnah wal-
Jamaa ́ah. Jambo ambalo Muislamu siku zote hatosheki nalo, bali alihitajia siku

zote katika maisha yake, kwa kwamba  ́Aqiydah ndio msingi. Kitabu ambacho ni
dalili tosha ya kuonesha umuhimu wake katika Ummah wa Kiislamu kwa kule
kubahatika kupata Qabuul (kukubaliwa) kwa kushereheshwa na wanazuoni wa
Kiislamu wa Ahl-us-Sunnah mbalimbali katika zama tofautitofauti, bali na
kusomeshwa katika ulimwengu wa Kiislamu tokea zama hizo mpaka leo na
mpaka ulimwengu utakapomalizika.
Na leo nazidi kumshukuru Allaah (وتعالى سبحانه (na kufurahi tena kwa kuwa kijana
chetu mpendwa – Allaah Amuhifadhi – al-Akh Abu Bakr Khatwiyb. Amesimama
na kukifasiri kitabu hichi kwa lugha ya Kiswahili ili mujtamaa wetu ufaidike na
kujua misingi sahihi ya I ́tiqaad ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah. Allaah Ampe

kula la kheri hapa duniani na huko Aakhirah na Aijaalie  ́amali hii iwe Swadaqat-
un-Jaariyah ya mzee wake alokwenda mbele ya haki. Allaah Amrahamu na

Amuweke mahali pema. Na yeye ampe afya njema na Ikhlaasw na hima
kuendelea kufanya kazi hii ya uandishi na nyinginezo za Da ́wah ili mujtamaa
wa Kiislamu unufaike na Amuwekee katika mizani ya hasanati zake.
Wa SwallaAllaahu  ́alaa Muhammad wa  ́alaa alihi wa Aswhaabihi wa Sallam.

Nashuhudia ya kwamba hapana mola apasaye kuabudiwa kwa haki ispokuwa
Allaah Pekee asiyekuwa na mshirika, kwa kukiri hilo na kumpwekesha Yeye
Pekee. Na ninashuhudia ya kwamba Muhammad ni mja wake na Mtume Wake
(Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) na ahli zake, na Maswahabah zake. Amma ba ́ad:
Hii ni I ́tiqaad ya al-Firqat-un-Naajiyyah al-Mansuurah1mpaka kisimame
Qiyaamah, Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah, nayo ni:
Kumuamini Allaah, Malaika Wake, vitabu Vyake, Mitume Wake, kufufuliwa
baada ya mauti na kuamini Qadar; kheri yake na shari yake.

Kuamini Majina na Sifa za Allaah
Kumuamini Allaah ina maana ni pamoja na kuamini yale Aliyojisifia2 Nafsi Yake
Mwenyewe katika Kitabu Chake na kwa yale aliyomsifia kwayo Mtume Wake
(Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam) bila ya Tahriyf,

3 Ta ́atwiyl,4 Takyiyf5 wala Tamthiyl.6 Bali, badala

yake wanaamini yafuatayo kuhusiana na Allaah (Subhaanahu):

“Hakuna chochote kinachofanana Naye, Naye Ndiye As-Samiy’ul-
Baswiyr (Mwenye kusikia yote daima, Mwenye kuona yote daima).” (42:11)

Hawakanushi kutoka Kwake yale ambayo Kajisifia Nafsi Yake Mwenyewe, na
wala hawabadilishi maana ya maneno kuyatoa mahala pake. Na hawajiweki
katika kufuru7 katika Majina ya Allaah na Uteremsho Wake.8Na wala
hawaziulizii namna Yake halisi, na wala hawazifananishi wala kuzilinganisha
Sifa Zake na sifa za viumbe Vyake.
Kwani, hakika Yeye (Subhaanahu) hana jina lililofanana na Yeye na wala hapana
mfano Wake na hana mshirika na wala hakisiwi na viumbe Vyake (Subhaanahu
wa Ta ́ala). Kwani hakika ni Mjuzi zaidi wa kujijua Mwenyewe na wengine na ni
Mkweli zaidi kwa Kauli na Maneno yaliyo bora wazi kuliko Viumbe Vyake.
Halafu Mitume Yake ni wakweli na waaminifu, tofauti na wale wanaosema juu
Yake yale wasioyajua. Na kwa ajili ya hili Kasema (Subhaanahu wa Ta ́ala):

”Subhaana Rabbika Rabbil-‘Izzati ‘Ammaa yaswifuwn (Ametakasika
Mola wako Mola Mtukufu kutokana na yote wanayoelezea) (ya uongo
na upotofu). Wa Salaamun ‘alal-Mursaliyn (na amani iwe juu ya Mitume)
(Wetu). Wal-HamduliLLaahi Rabbil-’aalamiyn (na Himidi zote ni za

Mola wa walimwengu.” (37:181-182)

Hivyo Kaelezea Kuitakasa Nafsi Yake Mwenyewe kwa waliyomuelezea wale
waendao kinyume na Mitume, Akawasalia Mitume Wake kuonesha dalili ya
usalama wa waliyoyasema katika mapungufu na aibu.

Na Yeye (Subhanaahu) kwa yale Aliyojisifu nayo na Kujiita kwa Majina hayo
Nafsi Yake, kajumuisha baina ya ukanushaji na uthibitisho. Hakuna upotofu
wowote kwa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa ́ah kwa yale waliyokuja nayo Mitume,
kwani hakika ni Njia iliyonyooka; Njia ambayo Kawaneemesha Kwayo
waifuatayo, miongoni mwa Manabii, wakweli, mashahidi na (waja) wema.
Kuamini yale Aliyojisifia Allaah Nafsi Yake Mwenyewe katika Kitabu
Chake
Kunaingia katika haya yale Aliyojisifia Allaah Nafsi Yake Mwenyewe katika
Suurat “al-Ikhlaasw”, ambayo ni sawa na theluthi ya Qur-aan, ambapo Kasema:

”Sema: “Yeye ni Allaahu Ahad (Mmoja Pekee).Allaah ni Asw-
Swamad (Aliyekamilika sifa za kila aina ya utukufu Wake, Mwenye

kukusudiwa kwa haja zote). Hakuzaa na wala Hakuzaliwa. Na wala
haiwi Awe na yeyote anayefanana (au kulingana) Naye.”(112:1-4)
na Aliyojisifia Nafsi Yake Mwenyewe katika Aayah kubwa katika Kitabu Chake
(kujumuisha kati ya kukanusha na kuthibitisha katika kujisifu Kwake
(Subhaanahu wa Ta ́ala), ambapo Kasema:

”Allaah, hapana ilaaha (Anayestahiki kuabudiwa kwa haki) ila
Yeye, Al-Hayyul-Qayyuwm (Aliyehai daima, Msimamizi wa
kila kitu). Haumchukuwi usingizi wala kulala. Ni Vyake
pekee vilivyomo katika mbingu na vilivyomo katika ardhi.
Nani huyu ambaye anashufai (anayeombea) mbele Yake bila
ya idhini Yake. Anajua yaliyo mbele yao (viumbe) na yaliyo
nyuma yao. Wala hawadiriki kitu chochote kile katika
Elimu Yake isipokuwa kwa Alitakalo. Imeenea Kursiyy
Yake (Kiti) mbingu na ardhi. Wala hakumchoshi kuvihifadhi
viwili hivyo. Naye ni Al-‘Aliyyul-‘Adhwiym (Mwenye

Uluwa – Mwenye Utukufu).”(02:255)a

 Kitabu hiki kinazunguzia mas’ala ya Aqidah Tawhid

حجم الكتاب عند التحميل : 1.4 ميجا بايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة AQIDATUL WASITWYYAH

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل AQIDATUL WASITWYYAH
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني - Abu Elabbas Ahmed Bn Abd Elsalam Bn Abd Elsalam Bn Taymya Elharany

كتب أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني تَقِيُّ الدِّينِ أَبُو الْعَبَّاسِ أَحْمَدُ بْنُ عَبْدِ الْحَلِيمِ بْنِ عَبْدِ السَّلَامِ النُّمَيْرِيُّ الْحَرَّانِيُّ (661هـ - 728هـ / 1263م - 1328م) المشهور باسم ابن تيميَّة. هو فقيه ومحدث ومفسر وفيلسوف ومتكلم وعالم مسلم مجتهد من علماء أهل السنة والجماعة. وهو أحد أبرز العلماء المسلمين خلال النصف الثاني من القرن السابع والثلث الأول من القرن الثامن الهجري. نشأ ابن تيميَّة حنبلي المذهب فأخذ الفقه الحنبلي وأصوله عن أبيه وجده، كما كان من الأئمة المجتهدين في المذهب، فقد كان يفتي في العديد من المسائل على خلاف معتمد الحنابلة لما يراه موافقاً للدليل من الكتاب والسُنة ثم على آراء الصحابة وآثار السلف. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ التفسير الكبير ❝ ❞ من فتاوى شيخ الإسلام ابن تيمية ❝ ❞ علم الحديث (ت: ابن تيمية) ❝ ❞ تزكية النفس لابن تيمية ❝ ❞ حقيقة الصيام ❝ ❞ الإيمان _ شيخ الإسلام ❝ ❞ طب القلوب ❝ ❞ اقتضاء الصراط المستقيم لمخالفة أصحاب الجحيم ❝ ❞ فتاوى الزواج وعشرة النساء ❝ الناشرين : ❞ جميع الحقوق محفوظة للمؤلف ❝ ❞ دار الكتب العلمية بلبنان ❝ ❞ دار الشروق للنشر والتوزيع: مصر - لبنان ❝ ❞ مكتبة الملك فهد الوطنية ❝ ❞ مؤسسة الرسالة ❝ ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ دار ابن حزم للطباعة والنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الكتاب العربي ❝ ❞ الدار المصرية اللبنانية ❝ ❞ المكتبة العصرية ❝ ❞ المكتب الإسلامي للطباعة والنشر ❝ ❞ دار ابن الجوزي ❝ ❞ مكتبة المعارف للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الفكر العربي بمصر ❝ ❞ دار إحياء التراث العربي ❝ ❞ عالم الكتب ❝ ❞ مركز دراسات الوحدة العربية ❝ ❞ دار طيبة للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة الرشد ❝ ❞ مجمع الملك فهد ❝ ❞ دار المنهاج للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوفاء لدنيا الطباعة والنشر ❝ ❞ دار عالم الفوائد للنشر والتوزيع ❝ ❞ مؤسسة الريان للطباعة والنشر والتوزيع ❝ ❞ دار العاصمة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والعلاقات العامة ❝ ❞ دار القاسم للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الفضيلة ❝ ❞ مكتبة التراث الاسلامي ❝ ❞ دار مكتبة الحياة ❝ ❞ مكتبة العلوم والحكم ❝ ❞ دار الصحابة للتراث بطنطا ❝ ❞ دار هجر للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الصميعي للنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتبة ابن تيمية ❝ ❞ دار كنوز إشبيليا ❝ ❞ مكتبه المنار ❝ ❞ دار أضواء السلف ❝ ❞ مكتبة دار البيان ❝ ❞ جامعة الإمام محمد بن سعود الإسلامية ❝ ❞ دار الفكر اللبناني ❝ ❞ الرئاسة العامة للبحوث العلمية والإفتاء ❝ ❞ المكتبة السلفية ❝ ❞ دار الكتب السلفية ❝ ❞ مكتبة الإيمان ❝ ❞ دار الكتاب الجديد المتحدة ❝ ❞ مكتبة التوبة ❝ ❞ دار الفتح ❝ ❞ الذهبية ❝ ❞ دار الوطن ❝ ❞ مجمع الفقه الاسلامي _بجدة ❝ ❞ مؤسسة الدرر السنية ❝ ❞ دار الهجرة للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الريان للتراث ❝ ❞ مؤسسة قرطبة ❝ ❞ دار المسلم ❝ ❞ دار الأنصار ❝ ❞ دار السلام للنشر والتوزيع-الرياض ❝ ❞ دار المدني ❝ ❞ دار علم الفوائد للنشر و التوزيع ❝ ❞ المكتب التعاوني للدعوة والإرشاد ❝ ❞ توزيع الجامعة الاسلامية بالمدينة المنورة ❝ ❞ دار المجتمع للنشر والتوزيع - جدة ❝ ❞ مكتبة الحرمين بالرياض ❝ ❞ دار ابن تيمية ❝ ❞ دار الفجر للتراث ❝ ❞ المطبعة الرحمانية بمصر ❝ ❞ دار الطباعة المحمدية ❝ ❞ دار أصالة للنشر ❝ ❞ دار البيان العربي ❝ ❞ مكتبة التوعية الإسلامية ❝ ❞ مكتبة الصديق ❝ ❞ إدارة الطباعة المنيرية ❝ ❞ دار الأصالة للثقافة والنشر ❝ ❞ شركة دار الأرقم بن أبي الأرقم للطباعة والنشر والتوزيع ❝ ❞ دار التراث العربي ❝ ❞ مكتبة الطرفين للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الكتاب الأسلامي ❝ ❞ دار البيان - مؤسسة علوم القرأن ❝ ❞ الرئاسة العامة للبحوث والافتاء ❝ ❞ مكتبة المورد ❝ ❞ مطبعة الحكومة-بدمشق- ❝ ❞ مكتبة الحافظ الذهبي ❝ ❞ دار المكر اللبنانى ❝ ❞ دار القبلة - جدة ❝ ❞ مطابع الصفا ❝ ❞ صهيب الدين وأخوانه ❝ ❞ دار الافتاء الرياض ❝ ❞ مكتبة حميدو ❝ ❱. المزيد..

كتب أبو العباس أحمد بن عبد الحليم بن عبد السلام بن تيمية الحراني