❞ كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA ❝  ⏤ محمد صالح المنجد

❞ كتاب SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA ❝ ⏤ محمد صالح المنجد

Kila sifa kamilifu nizake Allah mtukufu ambae katuchagulia
uislamu kuwa ndio dini ya kweli, na akaifanya starehe ya
muislamu kuwa inapatikana katika swala.
Swala na amani zimuendee Mtume Muhammad s.a.w. ambae
kaletwa na Allah ili kutufafanulia dini hii na kuwa ndio kiigizo
chema, na ziwe juu ya Ahali zake na maswahaba zake na wote
wenye kumfuata mpaka siku ya Qiyama.
Baada ya kumshukuru Allah mtukufu na kumtakia rehma
mtukufu wetu wa daraja Mtume Muhammad s.a.w. kuna mambo
mengi ambayo yanayo mfanya muislam asiwe na unyenyekevu
katika utekelezaji wa ibada ya swala.
Unyenyekevu katika swala ni moja katika sababu za kukubaliwa
swala, muislamu anapo kosa unyenyekevu katika swala inaweza
kuwa sababu ya kuto kukubaliwa swala.
Hayo yamekuja katika hadithi mashuhuri kwa jina la (Musiu
swalah) yani Hadithi ya asie juwa kuswali.
Hadithi hiyo nikama ifuatavyo:

Maana ya hadithi hii nikwamba:
((Kutoka kwa Abuu Hurayra radhi za Allah ziwe juu yake
hakika Mtume s.a.w. aliingia msikitini-akaswali alipomaliza
kuswali akakaa pembezoni mwa msikiti-kisha akaingia bwana
mmoja akaswali, baada ya kuswali akaenda kumsalimia Mtume
s.a.w, Mtume akamwambia: rudia swala kwani haujaswali
chochote, akarejea kuswali akaswali kama alivyo swali
mwanzo, kisha akaenda kumsalimia Mtume s.a.w.
akamwambia: rudia swala kwani hauja swali chochote, akarudi
kuswali akaswali kama alivyo swali mwanzo, kisha akaenda
kwa Mtume s.a.w. akamsalimia, akamwambia mtume: rudia
swala kwani haujaswali chochote, mara ya tatu.
Akasema yule bwana ninamuapa Allah ambae kakutuma kwa
haqqi sijui kuswali zaidi ya hivyo naomba unifundishe,
Mtume s.a.w. akasema: utakapo simama kwaajili ya swala toa
takbira, kisha soma sura nyepesi katika Qur’an, kisha rukuu
mpaka utulizane katika rukuu, kisha inuka mpaka uwe
sawasawa katika kusimama, kisha sujudu mpaka utulizane
katika sijda, kisha inuka kutoka katika shida mpaka utulizane
katika mkao, kisha Mtume akamwambia: Fanya hivyo katika
swala yako yote))
(Albukhary No760 na Muslim No397).
Subhana Allah! Tatizo lililo mpata swahaba huyu linaonyesha
kuwa alikuwa akiswali haraka haraka bila unyenyekevu, nahii ni

Kitabu hiki kinazungumzia Sababu 33 za Unyenyekevu katika Swala na Mambo yanayo ondoa Unyenyekevu atika Swala.
محمد صالح المنجد - «محمد صالح» المنجد (13 يونيو 1961 -) (30 ذو الحجة 1380 هـ -) فقيه وداعية سوري من أصل فلسطيني مُقيم في السعودية، ولد لأبوين فلسطينيين لاجئين في سوريا، ثم سافر أهله إلى السعودية فنشأ وترعرع هناك حتى نال درجة البكالوريوس من جامعة الملك فهد للبترول والمعادن.

❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ ظاهرة ضعف الإيمان الأعراض الأسباب العلاج ❝ ❞ كيف عاملهم صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ كيف تقرأ كتابا؟ ❝ ❞ مفسدات القلوب: النفاق ❝ ❞ اترك أثرا قبل الرحيل ❝ ❞ 70 مسألة في أحكام الصيام ❝ ❞ أعمال القلوب: التقوى ❝ ❞ أحداث مثيرة فى حياة الشيخ العلامة الألبانى ❝ ❞ Pojava slabljenja imana simptomi uzroci i liječenje ❝ الناشرين : ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ العبيكان للنشر ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والتوزيع - السعودية ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والعلاقات العامة ❝ ❞ مدار الوطن للنشر ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ مجموعة زاد للنشر ❝ ❞ شركة سفير ❝ ❞ مكتبة السنة ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA

Kila sifa kamilifu nizake Allah mtukufu ambae katuchagulia
uislamu kuwa ndio dini ya kweli, na akaifanya starehe ya
muislamu kuwa inapatikana katika swala.
Swala na amani zimuendee Mtume Muhammad s.a.w. ambae
kaletwa na Allah ili kutufafanulia dini hii na kuwa ndio kiigizo
chema, na ziwe juu ya Ahali zake na maswahaba zake na wote
wenye kumfuata mpaka siku ya Qiyama.
Baada ya kumshukuru Allah mtukufu na kumtakia rehma
mtukufu wetu wa daraja Mtume Muhammad s.a.w. kuna mambo
mengi ambayo yanayo mfanya muislam asiwe na unyenyekevu
katika utekelezaji wa ibada ya swala.
Unyenyekevu katika swala ni moja katika sababu za kukubaliwa
swala, muislamu anapo kosa unyenyekevu katika swala inaweza
kuwa sababu ya kuto kukubaliwa swala.
Hayo yamekuja katika hadithi mashuhuri kwa jina la (Musiu
swalah) yani Hadithi ya asie juwa kuswali.
Hadithi hiyo nikama ifuatavyo:

Maana ya hadithi hii nikwamba:
((Kutoka kwa Abuu Hurayra radhi za Allah ziwe juu yake
hakika Mtume s.a.w. aliingia msikitini-akaswali alipomaliza
kuswali akakaa pembezoni mwa msikiti-kisha akaingia bwana
mmoja akaswali, baada ya kuswali akaenda kumsalimia Mtume
s.a.w, Mtume akamwambia: rudia swala kwani haujaswali
chochote, akarejea kuswali akaswali kama alivyo swali
mwanzo, kisha akaenda kumsalimia Mtume s.a.w.
akamwambia: rudia swala kwani hauja swali chochote, akarudi
kuswali akaswali kama alivyo swali mwanzo, kisha akaenda
kwa Mtume s.a.w. akamsalimia, akamwambia mtume: rudia
swala kwani haujaswali chochote, mara ya tatu.
Akasema yule bwana ninamuapa Allah ambae kakutuma kwa
haqqi sijui kuswali zaidi ya hivyo naomba unifundishe,
Mtume s.a.w. akasema: utakapo simama kwaajili ya swala toa
takbira, kisha soma sura nyepesi katika Qur’an, kisha rukuu
mpaka utulizane katika rukuu, kisha inuka mpaka uwe
sawasawa katika kusimama, kisha sujudu mpaka utulizane
katika sijda, kisha inuka kutoka katika shida mpaka utulizane
katika mkao, kisha Mtume akamwambia: Fanya hivyo katika
swala yako yote))
(Albukhary No760 na Muslim No397).
Subhana Allah! Tatizo lililo mpata swahaba huyu linaonyesha
kuwa alikuwa akiswali haraka haraka bila unyenyekevu, nahii ni

Kitabu hiki kinazungumzia Sababu 33 za Unyenyekevu katika Swala na Mambo yanayo ondoa Unyenyekevu atika Swala. .
المزيد..

تعليقات القرّاء:

4

dalili inayo thibitisha kuwa swala isiyokuwa na unyenyekevu
haipokelewi asilimia 90%.
Tatizo la ukosefu wa unyenyekevu limekuwa nitatizo sugu
katika swala nyingi za waislamu, swala zingine zimempita hata
huyu Swahaba aliyerudishwa mara tatu na Mtume s.a.w.
Ndugu zangu huu nimsiba mkubwa kua tunapoteza umri katika
swala zisizo na manufaa nasisi.
Nisababu gani ambazo zinamfanya muislam awe na unyeyekevu
katika swala?

Katika kitabu hiki tutazungumzia sababu 33 zinazo mfanya
muislamu awe na unyenyekevu katika swala.
Tunamuomba Allah mtukufu aturuzuku ikhlaswi katika kauli na
matendo atusamehe yale tuliyo yatenda kwasiri na dhahiri,
Amiin.

SABABU 33 ZINAZO MFANYA MUISLAMU AWE NA
UNYENYEKEVU KATIKA SWALA.
Niwajibu kwa kila muislamu azijuwe sababu zinazo mfanya awe
na unyenyekevu katika swala, ili awe na ufanisi wakutosha
katika utekelezaji wa swala yake, ufafanuzi wa sababu hizo
nikama ifuatavyo:
1.NIKUFANYA MAANDALIZI KWA AJILI YA SWALA.
Hii nisababu ya kwanza katika sababu 33 zinazo mfanya
muislam awe na unyenyekevu katika swala.
Muislam anatakiwa ajiandae mapema na kujipamba kwa ajili ya
kwenda kuongea na Mola wake katika swala.
Maandalizi ya swala yanapatikana katika mambo yafuatayo:
A. Kufatilizia muadhini pindi unapo sikia Adhana.
B. Kusoma dua iliyo thibiti baada ya adhana.
C. Kusoma dua baina ya adhana na iqama, kwasababu dua baina
ya adhana na iqama niyenye kujibiwa na Allah.
D. Nikutawadha vizuri nakuanza udhu kwa kusema Bismilaah
rahmaani rahiim, kisha kusoma dua iliyo thibiti baada ya udhu.
E. Nikujihimiza kupiga mswaki.
F. Nikujipamba kwa kuvaa nguo nzuri zenye kupendeza.
G. Nikwenda msikitini mapema kwa utulivu na upole.
H. Kuipanga swafu ilio nyooka vizuri.
I. Nikusubiri swala.

Imethibiti kutoka kwa Mtume s.a.w kwamba alikuwa akiswali
anatulizana mpaka kila kiungo kinarudia mahala pake. Hadithi
hii ameisahihisha Imam albani.
(sifa ya swala ya mtume s.a.w. uk 134).
3. KUKUMBUKA UMAUTI KATIKA SWALA.
Kukumbuka umauti katika swala nisababu kubwa inayomfanya
muislam awe na unyenyekevu akiwa katika swala.
Imethibiti katika hadithi sahihi iliyomo katika kitabu cha silsila
ya hadithi sahihi ya shekh Albani kutoka kwa Anasi Bin Maliki
alisema: Alisema Mtume s.a.w:

Anasema Mtume s.a.w: ((kumbukeni umauti katika swala zenu,
hakika mtu anapo kumbuka umauti katika swala yake inakuwa
ni karibu kwa mtu kuifanya vizuri swala yake)). Hadithi hii
ameitoa Imamu Bayhaqy na akaisahihisha imamu Albany. pia
kaitoa hadithi hii Imamu Daylamy (vol1uk:431).
Kukumbuka umauti katika swala ni amri ya Mtume s.a.w ili
kuleta unyenyekevu katika swala, na Mtume s.a.w
amefahamisha haya baada ya kupata wahyi kutoka kwa Allah.

4. KUZINGATIA AYAH ZA QURAAN AMBAZO
ZINAZO SOMWA, NA ADHKARI ANAZO ZISEMA
KATIKA SWALA, NA KUJIPA BIDII KATIKA
UTEKELEZAJI WA SWALA.
Mazingatio katika swala hayapatikani ispokuwa kwa kujua
maana ya Aya ambazo zinazo somwa ndani ya swala, kufanya
hivyo itamsaidia kupata mazingatio mpaka kuleta machozi
ndani ya swala, na kuathirika kiimani kama Allah anavyo sema:

Kitabu hiki kinazungumzia Sababu 33 za Unyenyekevu katika Swala na Mambo yanayo ondoa Unyenyekevu atika Swala.

حجم الكتاب عند التحميل : 622.8 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
محمد صالح المنجد - Mohamed Saleh AlMunjed

كتب محمد صالح المنجد «محمد صالح» المنجد (13 يونيو 1961 -) (30 ذو الحجة 1380 هـ -) فقيه وداعية سوري من أصل فلسطيني مُقيم في السعودية، ولد لأبوين فلسطينيين لاجئين في سوريا، ثم سافر أهله إلى السعودية فنشأ وترعرع هناك حتى نال درجة البكالوريوس من جامعة الملك فهد للبترول والمعادن. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ ظاهرة ضعف الإيمان الأعراض الأسباب العلاج ❝ ❞ كيف عاملهم صلى الله عليه وسلم ❝ ❞ كيف تقرأ كتابا؟ ❝ ❞ مفسدات القلوب: النفاق ❝ ❞ اترك أثرا قبل الرحيل ❝ ❞ 70 مسألة في أحكام الصيام ❝ ❞ أعمال القلوب: التقوى ❝ ❞ أحداث مثيرة فى حياة الشيخ العلامة الألبانى ❝ ❞ Pojava slabljenja imana simptomi uzroci i liječenje ❝ الناشرين : ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❞ العبيكان للنشر ❝ ❞ دار الإسلام للنشر والتوزيع ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والتوزيع - السعودية ❝ ❞ دار الوطن للطباعة والنشر والعلاقات العامة ❝ ❞ مدار الوطن للنشر ❝ ❞ دار الإيمان للطبع والنشر والتوزيع ❝ ❞ مكتب الدعوة بالربوة ❝ ❞ مجموعة زاد للنشر ❝ ❞ شركة سفير ❝ ❞ مكتبة السنة ❝ ❱. المزيد..

كتب محمد صالح المنجد

كتب شبيهة بـ SABABU 33 SINAZO MFANYA MUISLAM AWE NA UNYENYEKEVU KATIKA SWALA:

قراءة و تحميل كتاب القراءة منهج حياة PDF

القراءة منهج حياة PDF

قراءة و تحميل كتاب القراءة منهج حياة PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب فاتتنى صلاة !! PDF

فاتتنى صلاة !! PDF

قراءة و تحميل كتاب فاتتنى صلاة !! PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب تحفة العروس أو الزواج الإسلامي السعيد PDF

تحفة العروس أو الزواج الإسلامي السعيد PDF

قراءة و تحميل كتاب تحفة العروس أو الزواج الإسلامي السعيد PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب الفراسة دليلك لمعرفة اخلاق الناس وطبائعهم وكأنهم كتاب مفتوح PDF

الفراسة دليلك لمعرفة اخلاق الناس وطبائعهم وكأنهم كتاب مفتوح PDF

قراءة و تحميل كتاب الفراسة دليلك لمعرفة اخلاق الناس وطبائعهم وكأنهم كتاب مفتوح PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب لأنك الله PDF

لأنك الله PDF

قراءة و تحميل كتاب لأنك الله PDF مجانا

Warning: extract() expects parameter 1 to be array, boolean given in /home/books/public_html/includes/functions.php on line 178
قراءة و تحميل كتاب  PDF

PDF

قراءة و تحميل كتاب PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب لا تحزن PDF

لا تحزن PDF

قراءة و تحميل كتاب لا تحزن PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب تعلم كيف تكون مثقفا PDF

تعلم كيف تكون مثقفا PDF

قراءة و تحميل كتاب تعلم كيف تكون مثقفا PDF مجانا