📘 قراءة كتاب MIONGONI MWA ITIKADI ZA KISHIA أونلاين
Shukrani zote zinamstahiki Allaah
peke yake, Rahma na amani zimwendee
Mtume (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam) pamoja na ahli zake na Swahaba
wake wote.
Amma ba’ad:
Hakika sababu za msingi zilizonipelek
ea kuandika kitabu hiki na hali
iliyojionyesha ya kushamiri
kwa harakati za Raafidhw
ah za kuwalingania watu
katika dhehebu hili potofu na haraka
ti hizi zimekuwa kiulimwengu, na
kutokana na hatari kubwa ya kundi hili kwa dini ya Uislamu na kutokana na
hali ya kughafilika na kuji
sahau kwa Waislamu wengi
kutokana na hatari ya
kundi hili, na kutokana na
itikadi yao iliyojaa ushiri
kina, na kuitukana Qur-aan
na Maswahaba (Radhi za Allaah ziwe
juu yao) na kupituka mipaka juu ya
Maimamu wao, ndio maana nimeazimia
kuandika kitabu hiki na kuyajibu
mambo yanayowatatiza watu kuhusu
kundi hili kwa muhtasari, nikufuata
nyayo za Shaykh wetu Shaykh ́Abdullaah bin ́Abdir-Rahmaan Al-Jibriyn
(Allaah Amrehemu) katika kitabu chake
"At-Ta’aliyqaat ́alaa Matni lumu ́atil
I’itiqaad" na kwa kunukuu katika vitabu
vya Raafidhwah ambavyo ni maarufu
na mashuhuri kwao, na
katika vya Ahlus-Sunnah miongoni mwa wema
waliotangulia na waliokuja baaada
yao ambao waliwajibu Raafidhwah na
kubainisha ubovu wa itikad
i zao zilizosimama juu ya ushirikina, na uongo, na
kuchupa mipaka, na matusi.
Na nimejaribu kwa kadiri ya uwezo wang
u katika kitabu hiki kuwasimamishia
hoja, kupitia vitabu vyao wanavyov
itegemea, kama alivyosema Shaykh
Ibraahiym bin Sulaymaan Al-Ja
b-haan (Allaah Amrehemu)
"Nitakusimamishia
hoja kupitia mdomo
wako ewe Shi'a.”
Mwisho namuomba Allaah Awanufaishe ku
pitia kitabu hiki wenye mazingatio
kama alivyosema Allaah:
www.alhidaaya.com
"Hakika katika hayo mna ukumbusho
kwa wenye kuwa na nyoyo
zinazozingatia, au mwenye kutega sikio na
hali moyo wake uko haadhwir"
% A[Qaaf 50: 37].
Natoa shukrani kwa kila al
iyechangia katika kitabu
hiki, namuomba Allaah
Awalipe kila la kheri. Rahma na aman
i zimuendee bwana wetu Muhammad na
ahli zake na Maswahaba zake.
Ni Lini Limedhihiri Kundi La Raafidhwah?
Lilianza kundi la Raafidhwah wakati
alipojitokeza Myahudi mmoja aitwae
́Abdullaah bin Sabai akidai kuwa ni
Muislam, na kwa madai ya kuwapenda
Ahlul-Bayt (watu wa nyum
bani kwa Mtume) na akapituka mipaka katika
kumtukuza ́Aliy (Radhiya Allaahu ́anhu) na akadai kuwa Mtume alimuusia
kuwa Khalifa baada yake, kisha akamnyan
yua na kumuweka katika daraja ya
uungu na haya yanathibitishwa na vitabu vya Ki-Shia. Kwa mfano Al-Qummiy
katika kitabu chake ‘
Al-Maqaalatu wal-Firaq’
.
(1)
Anakiri kuwepo kwake (Ibnu Sabai) na
anamzingatia kwam
ba ndie mtu wa
mwanzo aliyesema kuhusiana na Uimamu wa ́Aliy na kurejea kwake, na
akaanzisha kuwatukana Abu Bakr na ́Umar na ́Uthmaan na Maswahaba
wengine, kama alivyosema An-Nuub
akhtiy katika kitabu chake ‘
Firaqu Ash-
Shi’ah’
.
(2)
Na kama alivyosema pia Al-K
ushiy katika kitabu chake
maarufu ‘Rijaalul-
Kushiy’
.
(3)
Na katika Mashia wa sasa hivi wanaosema kuwepo kwa ́Abdullaah bin Sabai
ni Muhammad bin ́Aliy Al-Mu’
allim katika kitabu chake
‘ ́Abdullaah bin Sabai
Al-Haqiyqatul-Majhuulah’
.
(4)
Na mtu kukubali jambo ndio dalili kubwa, na hawa wote tuliowataja ni katika
Masheikh wakubwa wa ki-Raafidhwah.
Amesema Al-Baghdaadiy: "As-Sabaiyyah
ni wafuasi wa ‘Abdullaah bin Sabai
ambae alichupa mipaka katika kumtuk
uza ́Aliy (Radhiya Allaahu ́anhu) na
kudai kuwa alikuwa ni Nabii, Kisha
akachupa mipaka zaidi mpaka akadai
kuwa alikuwa ni mungu."
Na amesema Al-Baghdaadiy vilevile:
"Na alikuwa Ibnu Sawdai yaani Ibnu
Sabai - asili yake ni Myah
udi katika watu wa Aliirah, akadhihirisha Uislamu
kwa kutaka awe na ukubwa kwa watu wa Al-Kuufa, akawaambia (watu wa
Kuufa) kwamba amekuta katika Taurati kwamba kila Mtume anaye Waswiy
1
Al-Maqaalaatu wal-Firaq cha Al-Qummiy
uk. 10-21.
2
Firaqu ash-Shi’ah
cha An-Nuubakhtiy uk. 19-20.
3
Aliyoyataja Al-Kushiy katika riwaya zake
mbalimbali kutoka kwa Ibni Sabai na itikadi
zake, tazama namba: 170, 171, 172, 173, 174 katika uk. 106-108.
4
Na kitabu hiki ni majibu ya kitabu alic
hokitunga Mshia aitwae Murtadhwa Al-‘Askariy
kwa anuani,
‘Abdullaah bin Sabai wa Asaatwiru Ukhra’
ambae alipinga katika kitabu chake
kuwepo kwa Abdullaah bin Sabai.
7
www.alhidaaya.com
(mrithi) na kwamba ́Aliy (Radhiya
Allaahu ́anhu) ndie mrithi wa Mtume
(Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam)".
Kitabu hiki ina zungumzia itikadi batili za kishia.
سنة النشر : 1997م / 1418هـ .
حجم الكتاب عند التحميل : 289.3 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة:
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني و يمكنك تحميله من هنا:
شكرًا لمساهمتكم
شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:
قبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'