❞ كتاب Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu ❝  ⏤ MAKKICH

Chapisho hili, "Je, IMANI YA UTATU ni ya Ufunuo Mtakatifu?",
litatumika kama chakula cha fikra kwa kila mwenye mawazo mazuri na
kwa wafuasi wa Ukristo wa Kisasa. Maana ya Utatu imekanganya kila
dhehebu la Kikristo. Ingawa Bw. M. A. C. Cave alikuwa Mkristo
anayeamini utatu hapo kabla, alipoanza kuutazama utafiti wake juu ya
asili ya Imani hii, kwa mshangao mkubwa kabisa aligundua kuwa, Imani
hiyo ilitungwa na kuendelezwa katika zama za mwishoni pia imepangwa
na kuanzishwa na waandishi na watambuzi (Thinkers) mbali mbali wa
Kikristo.
Bw. M. A. C. Cave anakusanya ushahidi wa kuonyesha kuwa Utatu si
lolote ila ni imani iliyotungwa na wanadamu, ambayo inashindwa kufikia
kuwa ni ya ufunuo kutoka kwa Mungu. Kisha, imani hii iliyoundwa na
fundi cherehani, imepoteza nguzo yake muhimu, na hilo lipo katika
kupingana kwake yenyewe kwa yenyewe na imethibitisha kuwa ni mwiba
mchungu kwa upande wa tabaka za Wakristo kiujumla na hasa hasa kwa
viongozi wakuu wanaojaribu kuipigia upatu imani hiyo.
Ni jambo lisilokubalika kwa mtu anayefikiria sawa sawa kuamini itikadi
hii licha ya dosari zake zote. Mtu mwenye akili, anapaswa awe
mmakinifu zaidi juu ya mambo ya mwelekeo wa kiroho na ambayo ni
muhimu sana maishani mwake. Anatakiwa ajaribu kuchungulia katika
maandiko ya dini nyingine ili kuondoa mashaka. Na hatakiwi ajiachie
awe muhanga wa kuridhika na imani pofu kama ilivyokuwa zamani.
Jaribu kutafakari juu ya aya za Maandiko Matakatifu:
Nakusihi msomaji, kipime kitabu hiki kwa akili isiyopendelea na moyo
mkunjufu kiukweli, kwa kuwa hii ndio njia ya pekee inayoweza
kuongoza katika uamuzi sahihi utakaojenga maisha ya mtu hapa duniani
na maisha yajayo.

Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.
MAKKICH - ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

نبذة عن الكتاب:
Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu

Chapisho hili, "Je, IMANI YA UTATU ni ya Ufunuo Mtakatifu?",
litatumika kama chakula cha fikra kwa kila mwenye mawazo mazuri na
kwa wafuasi wa Ukristo wa Kisasa. Maana ya Utatu imekanganya kila
dhehebu la Kikristo. Ingawa Bw. M. A. C. Cave alikuwa Mkristo
anayeamini utatu hapo kabla, alipoanza kuutazama utafiti wake juu ya
asili ya Imani hii, kwa mshangao mkubwa kabisa aligundua kuwa, Imani
hiyo ilitungwa na kuendelezwa katika zama za mwishoni pia imepangwa
na kuanzishwa na waandishi na watambuzi (Thinkers) mbali mbali wa
Kikristo.
Bw. M. A. C. Cave anakusanya ushahidi wa kuonyesha kuwa Utatu si
lolote ila ni imani iliyotungwa na wanadamu, ambayo inashindwa kufikia
kuwa ni ya ufunuo kutoka kwa Mungu. Kisha, imani hii iliyoundwa na
fundi cherehani, imepoteza nguzo yake muhimu, na hilo lipo katika
kupingana kwake yenyewe kwa yenyewe na imethibitisha kuwa ni mwiba
mchungu kwa upande wa tabaka za Wakristo kiujumla na hasa hasa kwa
viongozi wakuu wanaojaribu kuipigia upatu imani hiyo.
Ni jambo lisilokubalika kwa mtu anayefikiria sawa sawa kuamini itikadi
hii licha ya dosari zake zote. Mtu mwenye akili, anapaswa awe
mmakinifu zaidi juu ya mambo ya mwelekeo wa kiroho na ambayo ni
muhimu sana maishani mwake. Anatakiwa ajaribu kuchungulia katika
maandiko ya dini nyingine ili kuondoa mashaka. Na hatakiwi ajiachie
awe muhanga wa kuridhika na imani pofu kama ilivyokuwa zamani.
Jaribu kutafakari juu ya aya za Maandiko Matakatifu:
Nakusihi msomaji, kipime kitabu hiki kwa akili isiyopendelea na moyo
mkunjufu kiukweli, kwa kuwa hii ndio njia ya pekee inayoweza
kuongoza katika uamuzi sahihi utakaojenga maisha ya mtu hapa duniani
na maisha yajayo.

Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?. .
المزيد..

تعليقات القرّاء:

Somo ukurasa
DIBAJI...........................................................................................................................1
UTANGULIZI...............................................................................................................2
Habari Maalum Kutoka Uingereza. ...........................................................................5
WAKRISTO ..............................................................................................................7
IMANI YA UTATU ................................................................................................10
JINSI UTATU ULIVYOKUA KATIKA ITIKADI YA KIKRISTO......................12
Imani ya Nicaea .......................................................................................................13
Imani ya Nicene .......................................................................................................14
SABABU ZILIZOSHAWISHI IMANI YA UTATU..............................................17
KUHALALISHWA KWA UTATU NA WANAUTATU ......................................19
IMANI YA UTATU HAIKUFUNDISHWA NA WAKRISTO WA MWANZO ..20
JE, BIBLIA INAFUNDISHA IMANI YA UTATU?..............................................22
Kuhusiana na Maandiko ya Kiyahudi..................................................................23
Kuhusiana na Maandiko ya Kigiriki....................................................................23
KUPINGWA IMANI YA UTATU NA WAKRISTO WA KISASA. ....................25
MAFUNDISHO YA MITUME YA MUNGU........................................................27
BIBLIA INASEMA NINI KUHUSU MUNGU NA YESU (AS)...............................32
1. Ushuhuda wa Biblia kuhusu Mungu................................................................32
2. Ushuhuda wa Biblia kuhusu Yesu (AS) ..........................................................34
3. Kile anachokisema Yesu (AS) juu yake na Mungu.........................................37
KINACHOSEMWA NA QURAN TUKUFU KUHUSU MUNGU .......................40
UTHIBITISHO WA BIBLIA JUU YA IMANI YA UTATU.................................43
HOJA ZA NYONGEZA ZINAZOKANUSHA IMANI YA UTATU....................51
JE, YESU (AS) ANATHIBITISHA UFAHAMU WA ROHO MTAKATIFU?.....55
QURAN NI NINI? NA INASEMA NINI KUHUSU YESU (AS) NA MAMA
YAKE?.....................................................................................................................60
KISA CHA AJABU.................................................................................................64
ONYO KWA WALE WANAOPOTOSHA UJUMBE WA MUNGU ...................66

Chapisho hili, "Je, IMANI YA UTATU ni ya Ufunuo Mtakatifu?",
litatumika kama chakula cha fikra kwa kila mwenye mawazo mazuri na
kwa wafuasi wa Ukristo wa Kisasa. Maana ya Utatu imekanganya kila
dhehebu la Kikristo. Ingawa Bw. M. A. C. Cave alikuwa Mkristo
anayeamini utatu hapo kabla, alipoanza kuutazama utafiti wake juu ya
asili ya Imani hii, kwa mshangao mkubwa kabisa aligundua kuwa, Imani
hiyo ilitungwa na kuendelezwa katika zama za mwishoni pia imepangwa
na kuanzishwa na waandishi na watambuzi (Thinkers) mbali mbali wa
Kikristo.
Bw. M. A. C. Cave anakusanya ushahidi wa kuonyesha kuwa Utatu si
lolote ila ni imani iliyotungwa na wanadamu, ambayo inashindwa kufikia
kuwa ni ya ufunuo kutoka kwa Mungu. Kisha, imani hii iliyoundwa na
fundi cherehani, imepoteza nguzo yake muhimu, na hilo lipo katika
kupingana kwake yenyewe kwa yenyewe na imethibitisha kuwa ni mwiba
mchungu kwa upande wa tabaka za Wakristo kiujumla na hasa hasa kwa
viongozi wakuu wanaojaribu kuipigia upatu imani hiyo.
Ni jambo lisilokubalika kwa mtu anayefikiria sawa sawa kuamini itikadi
hii licha ya dosari zake zote. Mtu mwenye akili, anapaswa awe
mmakinifu zaidi juu ya mambo ya mwelekeo wa kiroho na ambayo ni
muhimu sana maishani mwake. Anatakiwa ajaribu kuchungulia katika
maandiko ya dini nyingine ili kuondoa mashaka. Na hatakiwi ajiachie
awe muhanga wa kuridhika na imani pofu kama ilivyokuwa zamani.
Jaribu kutafakari juu ya aya za Maandiko Matakatifu:
Nakusihi msomaji, kipime kitabu hiki kwa akili isiyopendelea na moyo
mkunjufu kiukweli, kwa kuwa hii ndio njia ya pekee inayoweza
kuongoza katika uamuzi sahihi utakaojenga maisha ya mtu hapa duniani
na maisha yajayo.

 Je, IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu?.

حجم الكتاب عند التحميل : 427.9 كيلوبايت .
نوع الكتاب : pdf.
عداد القراءة: عدد قراءة Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu

اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu
شكرًا لمساهمتكم

شكراً لمساهمتكم معنا في الإرتقاء بمستوى المكتبة ، يمكنكم االتبليغ عن اخطاء او سوء اختيار للكتب وتصنيفها ومحتواها ، أو كتاب يُمنع نشره ، او محمي بحقوق طبع ونشر ، فضلاً قم بالتبليغ عن الكتاب المُخالف:

برنامج تشغيل ملفات pdfقبل تحميل الكتاب ..
يجب ان يتوفر لديكم برنامج تشغيل وقراءة ملفات pdf
يمكن تحميلة من هنا 'http://get.adobe.com/reader/'

المؤلف:
MAKKICH - MAKKICH

كتب MAKKICH ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu ❝ ❱. المزيد..

كتب MAKKICH

كتب شبيهة بـ Je IMANI YA UTATU Ni ya Ufunuo Mtakatifu:

قراءة و تحميل كتاب Jesus: Prophet of Islam Muhammad Ata ur Rahim PDF

Jesus: Prophet of Islam Muhammad Ata ur Rahim PDF

قراءة و تحميل كتاب Jesus: Prophet of Islam Muhammad Ata ur Rahim PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Jesus a paz esteja com ele No Alcor atilde o PDF

Jesus a paz esteja com ele No Alcor atilde o PDF

قراءة و تحميل كتاب Jesus a paz esteja com ele No Alcor atilde o PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Jesus the Messiah PDF

Jesus the Messiah PDF

قراءة و تحميل كتاب Jesus the Messiah PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Jede Bid‛a in der Religion ist ein Irregehen PDF

Jede Bid‛a in der Religion ist ein Irregehen PDF

قراءة و تحميل كتاب Jede Bid‛a in der Religion ist ein Irregehen PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Jesus amp the Bible PDF

Jesus amp the Bible PDF

قراءة و تحميل كتاب Jesus amp the Bible PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Jewish answers to Christian Missionaries PDF

Jewish answers to Christian Missionaries PDF

قراءة و تحميل كتاب Jewish answers to Christian Missionaries PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب The Islamic View of Jesus Peace Be Upon Him PDF

The Islamic View of Jesus Peace Be Upon Him PDF

قراءة و تحميل كتاب The Islamic View of Jesus Peace Be Upon Him PDF مجانا

قراءة و تحميل كتاب Bức Th ocirc ng Điệp Cho Tất Cả Những Ai Tin Nơi Nabi Ysa Jesus ndash Gi ecirc su PDF

Bức Th ocirc ng Điệp Cho Tất Cả Những Ai Tin Nơi Nabi Ysa Jesus ndash Gi ecirc su PDF

قراءة و تحميل كتاب Bức Th ocirc ng Điệp Cho Tất Cả Những Ai Tin Nơi Nabi Ysa Jesus ndash Gi ecirc su PDF مجانا